# THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
No. 11
2nd December, 2022
# ACT SUPPLEMENT
To The Gazette of the United Republic of Tanzania No. 45 Vol. 103 Dated 2tħ December, 2022
Printed by The Government Printer, Dodoma by Order of Government
# SHERIA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI, 2022
# MPANGILIO WA VIFUNGU
Kifungu
Jina
# SEHEMU YA KWANZA
# MASHARTI YA UTANGULIZI
- Jina na kuanza kutumika.
- Matumizi.
- Tafsiri.
- Malengo ya Sheria.
- Misingi ya ulinzi wa taarifa binafsi.
# SEHEMU YA PILI
# TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI
- Uanzishwaji wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
- Majukumu ya Tume.
- Uanzishwaji wa Bodi.
- Majukumu ya Bodi.
- Kamati za Bodi.
11.Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu. 12. Muda wa kuhudumu wa Mkurugenzi Mkuu. 13. Watumishi wa Tume.
# SEHEMU YA TATU
# USAJILI WA WAKUSANYAJI NA WACHAKATAJI WA TAARIFA
# BINAFSI
- Usajili wa wakusanyaji na wachakataji.
- Rejesta ya wakusanyaji na wachakataji.
- Kipindi cha usajili.
- Ukaguzi wa taarifa zilizosajiliwa.
- Kufutwa kwa usajili.
- Makosa yanayohusiana na usajili.
- Rufaa kuhusiana na usajili.
- Usajili wa taasisi za umma.
# SEHEMU YA NNE
# UKUSANYAJI, UTUMIAJI, UFICHUAJI NA UHIFADHI WA
# TAARIFA BINAFSI
- Ukusanyaji wa taarifa binafsi.
- Chanzo na utoaji wa taarifa binafsi.
- Usahihi wa taarifa binafsi.
- Taarifa binafsi kutumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa.
- Mipaka ya ufichuaji wa taarifa binafsi.
2Usalama wa taarifa binafsi. 28. Uhifadhi na utoaji wa taarifa binafsi. 29. Usahihishaji wa taarifa binafsi. 30. Katazo la uchakataji wa taarifa binafsi nyeti.
# SEHEMU YA TANO
# USAFIRISHAJI WA TAARIFA BINAFSI NJE YA NCHI
- Kusafirisha taarifa binafsi kwenda nchi yenye ulinzi wa kutosha wa taarifa binafsi.
- Kusafirisha kwenda nchi isiyo na ulinzi wa kutosha wa taarifa binafsi.
# SEHEMU YA SITA
# HAKI ZA WAHUSIKA WA TAARIFA
- Haki ya kupata taarifa binafsi.
- Haki ya kuzuia uchakataji unaoweza kumuathiri mhusika wa taarifa.
- Haki ya kuzuia uchakataji wa taarifa binafsi kutumika kwa madhumuni ya utangazaji wa biashara.
- Haki kuhusiana na uamuzi unaofanywa kiotomatiki.
- Haki ya fidia.
- Kurekebisha, kuzuia, kufuta na kuharibu taarifa binafsi.
# SEHEMU SABA UCHUNGUZI WA MALALAMIKO
- Malalamiko dhidi ya ukiukwaji wa misingi ya ulinzi wa taarifa binafsi.
- Notisi ya uchunguzi.
- Usiri wa uchunguzi.
- Mamlaka ya Tume wakati wa uchunguzi.
- Kuizuia Tume.
- Kutumia msaada wa mtu au mamlaka nyingine.
- Notisi ya utekelezaji.
- Notisi ya adhabu.
- Faini za kiutawala.
- Marejeo ya uamuzi.
- Haki ya rufaa.
- Malipo ya fidia.
# SEHEMU YA NANE MASHARTI YA FEDHA
- Vyanzo vya fedha za Tume.
- Usimamizi wa fedha.
- Makadirio ya mapato na matumizi na udhibiti wa fedha.
- Matumizi ya fedha.
- Makadirio ya nyongeza.
- Akaunti na ukaguzi.
- Taarifa za kila mwaka na mikataba ya utekelezaji.
# SEHEMU YA TISA MASHARTI MENGINEYO
- Mazingira yanayoondolewa katika mawanda ya Sheria hii.
- Amri ya uhifadhi.
- Makosa ya ufichuaji wa taarifa binafsi kinyume cha sheria.