ISSN 0856-0331X
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
No. 11
2nd December, 2022
ACT SUPPLEMENT
To The Gazette of the United Republic of Tanzania No. 45 Vol. 103 Dated 2nd December, 2022
Printed by The Government Printer, Dodoma by Order of Government
SHERIA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI, 2022
MPANGILIO WA VIFUNGU
Kifungu
Jina
SEHEMU YA KWANZA
MASHARTI YA UTANGULIZI
- Jina na kuanza kutumika.
- Matumizi.
- Tafsiri.
- Malengo ya Sheria.
- Misingi ya ulinzi wa taarifa binafsi.
SEHEMU YA PILI
TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI
- Uanzishwaji wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
- Majukumu ya Tume.
- Uanzishwaji wa Bodi.
- Majukumu ya Bodi.
- Kamati za Bodi.
- Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu.
- Muda wa kuhudumu wa Mkurugenzi Mkuu.
- Watumishi wa Tume.
SEHEMU YA TATU
USAJILI WA WAKUSANYAJI NA WACHAKATAJI WA TAARIFA
BINAFSI
- Usajili wa wakusanyaji na wachakataji.
- Rejesta ya wakusanyaji na wachakataji.
- Kipindi eha usajili.
Na 11 Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, 2022
- Ukaguzi wa taarifa zilizosajiliwa.
- Kufutwa kwa usajili.
- Makosa yanayohusiana na usajili.
- Rufaa kuhusiana na usajili.
- Usajili wa taasisi za umma.
SEHEMU YA NNE
UKUSANYAJI, UTUMIAJI, UFICHUAJI NA UHIFADHI WA TAARIFA BINAFSI
- Ukusanyaji wa taarifa binafsi.
- Chanzo na utoaji wa taarifa binafsi.
- Usahihi wa taarifa binafsi.
- Taarifa binafsi kutumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa.
- Mipaka ya ufichuaji wa taarifa binafsi.
- Usalama wa taarifa binafsi.
- Uhifadhi na utoaji wa taarifa binafsi.
- Usahihishaji wa taarifa binafsi.
- Katazo la uchakataji wa taarifa binafsi nyeti.
SEHEMU YA TANO
USAFIRISHAJI WA TAARIFA BINAFSI NJE YA NCHI
- Kusafirisha taarifa binafsi kwenda nchi yenye ulinzi wa kutosha wa taarifa binafsi.
- Kusafirisha kwenda nchi isiyo na ulinzi wa kutosha wa taarifa binafsi.
SEHEMU YA SITA
HAKI ZA WAHUSIKA WA TAARIFA
- Haki ya kupata taarifa binafsi.
- Haki ya kuzuia uchakataji unaoweza kumuathiri mhusika wa taarifa.
- Haki ya kuzuia uchakataji wa taarifa binafsi kutumika kwa madhumuni ya utangazaji wa biashara.
- Haki kuhusiana na uamuzi unaofanywa kiotomatiki.
- Haki ya fidia.
- Kurekebisha, kuzuia, kufuta na kuharibu taarifa binafsi.
Na 11 Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, 2022
# SEHEMU SABA UCHUNGUZI WA MALALAMIKO
- Malalamiko dhidi ya ukiukwaji wa misingi ya ulinzi wa taarifa binafsi.
- Notisi ya uchunguzi.
- Usiri wa uchunguzi.
- Mamlaka ya Tume wakati wa uchunguzi.
- Kuizuia Tume.
- Kutumia msaada wa mtu au mamlaka nyingine.
- Notisi ya utekelezaji.
- Notisi ya adhabu.
- Faini za kiutawala.
- Marejeo ya uamuzi.
- Haki ya rufaa.
- Malipo ya fidia.
# SEHEMU YA NANE MASHARTI YA FEDHA
- Vyanzo yya fedha za Tume.
- Usimamizi wa fedha.
- Makadirio ya mapato na matumizi na udhibiti wa fedha.
- Matumizi ya fedha.
- Makadirio ya nyongeza.
- Akaunti na ukaguzi.
- Taarifa za kila mwaka na mikataba ya utekelezaji.
# SEHEMU YA TISA MASHARTI MENGINEYO
- Mazingira yanayoondolewa katika mawanda ya Sheria hii.
- Amri ya uhifadhi.